Ijumaa, 29 Machi 2013

MIKAO LAZIMA UKAE, HABARI NDO HIYO.

Kuna sehemu za kujiachia so chunga mapaparazi,na kama umeamua mwenyewe usiwakimbie.
HIVI HIZI PICS ZA UCHI ZA WASANII WAKIKE AMBAO WANAZISAMBAZA KWENYE MITANDAO,NIA YAO NI NINI? NA NYIE KINA DADA MNATAKIWA MJIHESHIMU,JAMII INAWATAZAMA SASA INAKUWAJE MNAPIGIGA PICHA ZA UCHI?ULIMBUKENI HUO.

Hiy ni style gani ya upigaji pic?

Dada zetu wanatakiwa wajiheshmu sababu wao ni kioo cha jamii,siyo kupga pcha chafu na kuzianika kwa mtandao,kuna kina dada wengi sana wakishapat umaarufu wanaanza kufanya mambo tofauti kabisa,kwenye hii mitandao ya kijamii kuna picha nyingi sana za wasanii wakike ambazo ni nusu uchi,na zngine ni uchi kabisa WHY KINA DADA,NINI KINA WASIBU?